Tanzania inazalisha umeme takribani Megawati 3500 kupitia vyanzo vyake mbalimbali vya umeme, wakati mahitaji yake yakiwa chini ya Megawati 2000. Kwa hesabu rahisi nchi hiyo inaziada ya kutosha ya ...
Swali ambalo wengi hujiuliza, kwa nini nchi hulazimika kuagiza umeme kutoka nchi nyingine wakati nchi zote zina vyanzo vyao vya kuzalisha umeme? Swali hili linazidi kuwa la msingi pale data ...