Hitaji la kwenda chooni dakika chache tu baada ya kula ni tatizo ambalo watu wengi hukabiliana nalo kila siku. Hili pia linaibua swali akilini, je, chakula tulichokula kimemeng'enywa ipasavyo?